Yatangazeni Mliyoyasikia
Yatangazeni Mliyoyasikia | |
---|---|
Alt Title | Nendeni na Amani |
Performed by | St. Monica Lower Kabete Campus UoN |
Album | Toba Yangu |
Category | Recession |
Composer | Renatus Rwelamira |
Views | 4,627 |
Yatangazeni Mliyoyasikia Lyrics
Nendeni na amani, misa imekwisha
Nendeni mkayatangazeni yote mliyoyasikia
Katika masomo injili na mahubiri.
Tazama Kristu Bwana yupo nasi daima-
Daima mpaka ukamilifu wa dahari- Neema na baraka mlizozipata
Zikae nanyi siku zote - Ishi kwa upendo amani umoja
matunda ya Ekaristia - Na yahubirini mliyoyasikia
kwa matendo na miendo yenu