Mama Maria

Mama Maria
Performed bySt. Monica Lower Kabete Campus UoN
AlbumToba Yangu
CategoryBikira Maria
ComposerA. Kenani
Views15,086

Mama Maria Lyrics

  1. Maria Mama e ee Maria Mama e Maria
    Mama wa Mungu ee twakusalimu e Maria

    utuombee Mama Maria (kwa mwana wako) Mama Maria,
    uombe nasi Mama Maria (Rosari yako) Mama Maria.

  2. Twakushukuru e . . .
  3. Twakupa sifa e . . .
  4. Twakupongeza e . . .
  5. Twakuimbia e . . .
  6. Milele yote e . . .