Fadhili za Bwana
Fadhili za Bwana | |
---|---|
Performed by | St. Monica Lower Kabete Campus UoN |
Album | Toba Yangu |
Category | Zaburi |
Composer | Renatus Rwelamira |
Views | 5,435 |
Fadhili za Bwana Lyrics
Fadhili, Fadhili za Bwana nitaziimba milele*2
Kwa kinywa changu nitavijulisha (vijulisha)
vizazi vyote uhaminifu wako
Nitavijulisha, uhaminifu wako.- Maana nimesema, nimesema fadhili zitajengwa milele,
katika mbingu utaudhibitisha uaminifu wako - Nimefanya agano,na mteule wangu nimemwapia Daudi,
mtumishi wangu,kuwa wazao wako nitawafanya imara milele