Ahimidiwe Mungu Baba
Ahimidiwe Mungu Baba | |
---|---|
Performed by | Kristu Mfalme Kigoma |
Category | Zaburi |
Composer | John Kasindi |
Views | 4,036 |
Ahimidiwe Mungu Baba Lyrics
Ahimidiwe Mungu Baba, asiyeyakataa maombi
Maombi yangu, ahimidiwe yeye
Ahimidiwe Mungu Baba asiyeyakataa maombi yangu
Wala hakuniondolea fadhili zake mavumbini
Nami nami siku zote nitaziimba sifa zake zote
Mungu- Mimi nilimlilia Bwana, Mungu kwa sauti
Sifa zake nikazitangaza, naye amenijibu - Lakini kweli Mungu, Mungu amenisikiliza
hakika amenisikiliza, maneno ya sala yangu - Enyi mnaomcha Mungu, njooni nyote mkasikilize
nami nitayasikilizeni, aliyonitendea