Astahili Mwanakondoo
Astahili Mwanakondoo | |
---|---|
Alt Title | Worthy is the Lamb |
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Bwana Kafufuka |
Category | Kristu Mfalme (Christ the King) |
Composer | G. F. Handel |
Views | 5,672 |
Astahili Mwanakondoo Lyrics
- Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa,
Na kutukomboa kwa damu yake,
Kupokea enzi utajiri na hekima,
Na nguvu, na heshima, utukufu na baraka - Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa,
Na akatukomboa, kwa damu yake
Kupokea enzi, utajiri, na hekima
Na nguvu, na heshima, utukufu na baraka - ___
/t/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
aketiye juu juu ya kiti cha enzi,
aketiye juu ya kiti cha enzi
milele milele milele milele milele milele milele mile-le
na Mwanakondoo - /s/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
aketiye juu ya kiti cha enzi cha Mwana kondoo
milele milele milele, utukufu
Aketiye juu ya kiti na mwanakondoo - /a/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye milele milele milele
aketiye juu ya kiti cha mwanakondoo
/b/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
aketiye juu ya kiti cha enzi na Mwana kondoo - ___
/b/ Baraka heshima utukufu una yeye milele
aketiye juu yaaa kiti na Mwanakondoo milele na milele
Na mwanakondoo milele
/a/ Baraka heshima utukufu una yeye utukufu una yeye
aketiye juu ya kiti
aketiye juu ya kiti milele na milele
na mwanakondoo milele - /s/ Baraka heshima utukufu una yeye utukufu una yeye
aketiye juu aketiye juu ya kiti milele na milele
na mwanakondoo milele
/t/ Baraka heshima utukufu una yeye na mwanakondoo
milele na milele
na kwa mwana kondoo milele
___
[s/a/t] Baraka heshima utukufu una yeye yeye
[t/b] Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
Baraka! Heshima!! nguvu! utukufu una yeye!
Aketiye juu ya kiti cha enzi milele milele
Milele na milele *6
___ - [b] A-men, a--men . . . .
[t] A-men, a--men . . . .
[a] A-men, a--men . . . .
[s] A-men, a--men . . . .
___ - [w] A--men . . . .
Amen Amen!
Recorded by several choirs and Gospel artists