Atosha Lyrics

ATOSHA

@ J. B. Manota

 1. Dunia hii imejaa mambo mengi
  Yanayotisha na yanayotupoteza
  Amua leo unayemtumikia
  Maana muda wa kuishi ni mfupi
  Usiupoteze

  Bwana Mungu atosha, usipoteze muda
  Bwana Mungu atosha, usipoteze muda
 2. Chagua yule utakayemtumikia wewe ndugu

  Bwana Mungu atosha, usipoteze muda
  Bwana Mungu atosha, usipoteze muda
 3. Utapata tuzo gani kwa kutegemea mwanadamu

  Bwana Mungu atosha, usipoteze muda
 4. Hivyo vyote kaumba Muumba wetu
  Nini sasa chatupa nguvu tumuasi
  Ewe ndugu yangu

  Bwana Mungu atosha, usipoteze muda


  Chunguza maisha yako hakuna mwingine ni Mungu pekee anayekubariki
  Atupenda kweli atupenda nani kama Mungu wa Mbinguni
  Atupenda kweli atupenda nani kama Mungu wa Mbinguni
Atosha
COMPOSERJ. B. Manota
CHOIRBMT Ledochowska K/Ndege Dodoma
ALBUMKimbunga
CATEGORYTafakari
 • Comments