Apandaye Mbingu za Mbingu

Apandaye Mbingu za Mbingu
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerCredo Mbogoye
Views2,395

Apandaye Mbingu za Mbingu Lyrics

 1. Apandaye mbingu za mbingu za tangu milele
  Apandaye mbingu, mbingu za mbingu za tangu milele
  Aitoaye sauti, sauti yake, sauti ya nguvu
  Aitoaye sauti, sauti yake, sauti ya nguvu

 2. Mhesabihenni Mungu nguvu
  Enzi yake i juu ya Israeli
  Na nguvu zake zi mawinguni
 3. Mungu ni mwenye kutisha
  Kutoka patakatifu pake
  Ndiye Mungu wa Israeli
 4. Yeye huwapa watu wake
  Nguvu nao uwezo
  Na ahimidiwe Bwana mwenyezi Mungu