Angalieni Nawatuma Kama Kondoo

Angalieni Nawatuma Kama Kondoo
ChoirSt. Cecilia Zimmerman
CategoryInjili na Miito (Gospel)

Angalieni Nawatuma Kama Kondoo Lyrics

{ Angalieni mimi nawatuma kama kondoo
Kati ya mbwa mwitu } *2
{ Msiwe wakali tena muwe na busara
Hata muwe wapole tena kama njiwa } *2

 1. Angalieni sana haya niwaambiayo ninyi
  Myashike vizuri, mshinde majaribu
  Mpate kuokoka
 2. Muwe wavumilivu na pia wa upendo
  Kama nilivyo wapenda
 3. Roho wa kweli awaongoze
  Mpate kufaulu