Amri Mpya Nawapa

Amri Mpya Nawapa
Choir-
CategoryLove
SourceTanzania

Amri Mpya Nawapa Lyrics

Amri mpya nawapa, nawapa mpendane
Amri mpya nawapa, nawapa mpendane
{ Kama vile nilivyowapenda ninyi
Kama vile nilivyowapenda ninyi
Mpendane vivyo hivyo } *2

  1. Wala hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu
    Wa mtu kutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake
  2. Kama vile Baba alivyonipenda na nilivuyowapenda ninyi
    Kaeni katika pendo, kaeni katika pendo langu
  3. Nimewaambia haya ili furaha yangu iwe ndani yenu
    Nayo furaha yenu furaha yenu itimizwe