Amefufuka Kristu Bwana

Amefufuka Kristu Bwana
ChoirSt. Charles Lwanga Yombo Dovya Dsm
AlbumKafufuka Mwokozi
CategoryPasaka (Easter)

Amefufuka Kristu Bwana Lyrics

Amefufuka Kristu Bwana wetu (kweli)
Kaburini hayumo pako wazi
{ Ameyashinda mauti, tuimbe sote kwa furaha
Tuimbe aleluya tuimbe aleluya } *2

  1. Kweli amefufuka Bwana Yesu
    Wameshuhudia mitume wake
  2. Amezishinda nguvu za shetani
    Dhambi haitutawali tena
  3. Katupatia njia ya wokovu
    Tuifuate tutaokoka