Amani Tele
Amani Tele | |
---|---|
Performed by | Watakatifu Mashahidi wa Uganda Singida |
Category | Tafakari |
Composer | E. F. Jissu |
Views | 3,419 |
Amani Tele Lyrics
- Bwana ni kinga yangu mimi, sasa nimwogope nani
Bwana ni ngome yangu mimi, sasa nimhofu naniAmani amani amani amani
Mimi nina amani tele
Kwa upande wala sihofu kitu wala siteteleki
Najionea fahari ni katika Bwana (kweli)
Mambo yangu yote ni katika Bwana - Naimba kwa sauti kubwa watu wote wasikie
Na kwa wale wasosikia . . . - Furaha yangu kubwa mimi kukushirikisha wewe
Ujue kwamba Mungu yupo tena yu kati yetu - Mashariki na magharibi ujumbe huu uwafikie
Pande na kingo za dunia wajue na Mungu yupo
Vijana tubadilike kweli Mungu yupo
Tushangilie tufurahi ndugu kweli Mungu yupo
Sisi tunahangaika kwa nini Bwana Mungu yupo
Tushangilie tufurahi ndugu kweli Mungu yupo