Akawanyeshea Mana

Akawanyeshea Mana
Choir-
CategoryEkaristia (Eucharist)
SourceTanzania

Akawanyeshea Mana Lyrics

Akawanyeshea mana, akawanyeshea mana ili wale
Akawapa nafaka ya Mbinguni
Akawapa nafaka ya Mbinguni ili wale

 1. Mambo tuliyosikia na kuyafahamu
  Ambayo Baba zetu walituambia
  Hayo hatutaficha wana wenu
  Huku tukiwaambia kizazi kingine
  Sifa za Bwana na nguvu zake
 2. Lakini aliyaamuru mawingu juu
  Akaifungua milango ya Mbinguni
 3. Mwanadamu akala chakula cha mashujaa
  Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha