Akawanyeshea Mana

Akawanyeshea Mana
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views4,875

Akawanyeshea Mana Lyrics

  1. Akawanyeshea mana, akawanyeshea mana ili wale
    Akawapa nafaka ya Mbinguni
    Akawapa nafaka ya Mbinguni ili wale

  2. Mambo tuliyosikia na kuyafahamu
    Ambayo Baba zetu walituambia
    Hayo hatutaficha wana wenu
    Huku tukiwaambia kizazi kingine
    Sifa za Bwana na nguvu zake
  3. Lakini aliyaamuru mawingu juu
    Akaifungua milango ya Mbinguni
  4. Mwanadamu akala chakula cha mashujaa
    Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha