Zipazeni Sauti Zenu
Zipazeni Sauti Zenu | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Category | Zaburi |
Composer | G. F. Handel |
Views | 3,077 |
Zipazeni Sauti Zenu Lyrics
- Zipaazeni sauti zenu, makerubi, maserafi
Mwimbieni Mungu wetu mwimbieni Mungu wetu
Aleluya aleluya . . . msifu Mungu - Zipazeeni, (aleluya . . .)
sauti zenu, makerubi, maserafi
mwimbieni aleluya....
aleluya mwimbieni Mungu - Mwimbieni makerubi maserafi
makerubi maserafi, makerubi maserafi
makerubi mwimbieni aleluya - - - - Zipazeeni sauti zenu
mwimbieni Mungu wetu *4
aleluya . . .