Ziliwatokea Kama Ndimi

Ziliwatokea Kama Ndimi
Performed byKigurunyembe Morogoro Tz
CategoryRoho Mtakatifu (Pentecoste)
Views5,077

Ziliwatokea Kama Ndimi Lyrics

  1. { Ziliwatokea zilizogawanyika kama ndimi
    Na kukaa ndani yao } *2

  2. Wakajazwa Roho Mtakatifu,
    Wakasema kwa lugha lugha mpya
  3. Wakanena maneno makuu ya Mungu
    Wakasifu jina lake takatifu
  4. Yatupasa nasi sote tuhbiri
    Kama mitume walivyohubiri