Chochote Umtendeacho
Chochote Umtendeacho | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Zimmerman |
Category | Tafakari |
Views | 2,858 |
Chochote Umtendeacho Lyrics
Chochote chochote chote
Chochote umtendeacho mwenzio,
Ujue kwamba umenitendea mimi- Nilipokuwa na njaa,
We ukanipa chakula
Nilipokuwa ni mgeni
We ukanikaribisha - Nilipokuwa na kiu
We ukanipa maji
Nilipokuwa bado ni uchi
We ukaja kunivika - Nilipokuwa mgonjwa
We ukaja kuniona
Nilipokuwa gerezani
We ukanitembelea