Yesu Mbona Unatoka Jasho

Yesu Mbona Unatoka Jasho
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHii ni Kwaresma
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Yesu Mbona Unatoka Jasho Lyrics

Yesu mbona unatokwa jasho la damu
Yesu mbona unachukua msalaba mzito
Kwa ajili yako wewe mdhambi ili nikukomboe *2

  1. Rudi ewe mdhambi utubu, uje kwangu
  2. Nimekuja kwa ajili yako wewe mdhambi