Yesu Mbona Unatoka Jasho

Yesu Mbona Unatoka Jasho
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHii ni Kwaresma
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Views4,185

Yesu Mbona Unatoka Jasho Lyrics

  1. Yesu mbona unatokwa jasho la damu
    Yesu mbona unachukua msalaba mzito
    Kwa ajili yako wewe mdhambi ili nikukomboe *2
  2. Rudi ewe mdhambi utubu, uje kwangu
  3. Nimekuja kwa ajili yako wewe mdhambi