Kristu Alijinyenyekeza
| Kristu Alijinyenyekeza | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha | 
| Album | Hii ni Kwaresma | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Composer | E. I. Kalluh | 
| Views | 7,345 | 
Kristu Alijinyenyekeza Lyrics
- Kristu alijinyenyekeza,
 Kristu alijinyenyekeza
 { Akawa mtii hata mauti,
 naam mauti ya msalaba } *2
- Kwa hiyo Mungu alimuadhimisha mno
 Akamkirimia jina lile lipitalo kila jina
- Ninyi mnaomcha Bwana, msifuni
 Enyi nyote mlio uzao wa Yakobo mtukuzeni
- Wote wanionao hunicheka sana
 Hunifyonza wakitikisa vichwa vyao
 
  
         
                            