Kristu Alijinyenyekeza Lyrics

KRISTU ALIJINYENYEKEZA

@ E. I. Kalluh

Kristu alijinyenyekeza,
Kristu alijinyenyekeza
{ Akawa mtii hata mauti,
naam mauti ya msalaba } *2

  1. Kwa hiyo Mungu alimuadhimisha mno
    Akamkirimia jina lile lipitalo kila jina
  2. Ninyi mnaomcha Bwana, msifuni
    Enyi nyote mlio uzao wa Yakobo mtukuzeni
  3. Wote wanionao hunicheka sana
    Hunifyonza wakitikisa vichwa vyao
Kristu Alijinyenyekeza
COMPOSERE. I. Kalluh
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMHii ni Kwaresma
CATEGORYKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
MUSIC KEYD Flat Major
TIME SIGNATURE3
4
NOTES Open PDF
  • Comments