Mtazame Mkombozi Msalabani
| Mtazame Mkombozi Msalabani | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Album | Asilegee Moyoni |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Views | 3,642 |
Mtazame Mkombozi Msalabani Lyrics
{ Mtazame Mkombozi Msalabani
Alivyotundikwa pasipo na kosa
Ili sisi sote tukombolewe } *2- Shaka we Mkristu, ukawaze,
mateso yake Bwana - Jasho la damu, limemtoka
Mateso yakazidi tu - Msalaba walimtwika
Kalvari alikwenda nao