Mtazame Mkombozi Msalabani

Mtazame Mkombozi Msalabani
ChoirTBA
AlbumAsilegee Moyoni
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Mtazame Mkombozi Msalabani Lyrics

{ Mtazame Mkombozi Msalabani
Alivyotundikwa pasipo na kosa
Ili sisi sote tukombolewe } *2

  1. Shaka we Mkristu, ukawaze,
    mateso yake Bwana
  2. Jasho la damu, limemtoka
    Mateso yakazidi tu
  3. Msalaba walimtwika
    Kalvari alikwenda nao