Mateso yako ee Yesu

Mateso yako ee Yesu
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerF. A. Nyundo
Views6,977

Mateso yako ee Yesu Lyrics

  1. { Mateso yako ee Yesu, yametokana na dhambi
    Yametokana na dhambi sisi, sisi wanadamu } *2

  2. Umebeba msalaba, kwa ajili yetu wanadamu
    Kuzitoa dhambi zetu, kwa ajili yetu wanadamu
  3. Ee Yesu umeteswa kwa ajili yetu wanadamu
    Na ukafa msalabani kwa ajili yetu wanadamu