Mateso yako ee Yesu Lyrics

MATESO YAKO EE YESU

@ F. A. Nyundo

{ Mateso yako ee Yesu, yametokana na dhambi
Yametokana na dhambi sisi, sisi wanadamu } *2

  1. Umebeba msalaba, kwa ajili yetu wanadamu
    Kuzitoa dhambi zetu, kwa ajili yetu wanadamu
  2. Ee Yesu umeteswa kwa ajili yetu wanadamu
    Na ukafa msalabani kwa ajili yetu wanadamu
Mateso yako ee Yesu
COMPOSERF. A. Nyundo
CATEGORYKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
  • Comments