Asubuhi na Mapema
| Asubuhi na Mapema | |
|---|---|
| Performed by | St. Monica Sinza | 
| Album | Ni Siku Njema Leo | 
| Category | Pasaka (Easter) | 
| Composer | G. Matui | 
| Views | 5,704 | 
Asubuhi na Mapema Lyrics
- { Asubuhi na mapema, siku ya kwanza ya ju-ma
 Wanawake walikwenda kaburini
 Wakiwa na mafuta na manemane
 Ili wampake Bwana ilivyo desturi } *2
 Pale kaburini, walishikwa na mshangao
 Kaburi li wazi, hafungwi Mwokozi
 Ametoka mzima, Kafufuka alivyosema
- Hawajafika bustanini, waliulizana njiani
 Kulifungulia jiwe kuu, tutawezaje sisi tu?
- Walipofika walishangaa, malaika safi alikaa
 Jiweni akimulika mlango umefunguka
 
  
         
                            