Misa Luo

Misa Luo
Performed by-
CategoryMisa (Sung Mass)
Views9,516

Misa Luo Lyrics

BWANA UTUHURUMIE (MISA LUO)

  1. Bwana utuhurumie -
    Bwana utuhurumie *2
  2. Kristu utuhurumie . . .
  3. Bwana utuhurumie . . .

UTUKUFU KWA MUNGU (MISA LUO)

  1. Utukufu kwa Mungu juu--
    Na amani kwa watu wenye mapenzi mema

  2. Tunakusifu, tunakuheshimu tunakuabudu
  3. Tunakusifu, tunakuheshimu, Mfalme wa Mbingu
  4. Ee Bwana Mungu mfalme wa Mbinguni, Mungu Baba Mwenyezi
  5. Ewe Yesu Kristu Mwana wa pekee, Mwana wake Baba
  6. Mwenye kuondoa, dhambi za dunia, utuhurumie
  7. Mwenye kuketi, kuume kwa Baba, pokea ombi letu
  8. Peke yako Bwana peke yako mkuu peke yako mkombozi
  9. Pamoja na Roho, Roho Mtakatifu, milele amina