Misa Upendo Lyrics

MISA UPENDO

@ J. C. Shomaly

BWANA UTUHURUMIE (MISA UPENDO)

 1. Bwana Bwana utuhurumie,
  Ee eh Bwana utuhurumie
  Ee Bwana, (ee Bwana)
  ee Bwana (ee Bwana)
  Ee Bwana Bwana utuhurumie Bwana *2

  /b/ Ee Bwana Bwana, ee Bwana Bwana
  Ee Bwana Bwana utuhurumie Bwana
 2. /s/ Kristu u Kristu utuhurumie , Kri-stu utuhurumie
  /a/ Kristu Kristu utuhurumie. ee kri-stu utuhurumie
  /t/ (Ee Kristu, ee Kristu Kristu
  Eee Kristu kri-stu utuhurumie
  /b/ Ewe Kristu Kristu u Kristu Kristu
  Kri - stu (Kristu) utuhurumie
 3. Bwana Bwana utuhurumie . . .

UTUKUFU KWA MUNGU (MISA UPENDO)

{ Utukufu kwa Mungu juu, utukufu
Na amani duniani
Kwa watu wote wenye mapenzi (mema)
Kwa watu wote wenye mapenzi
Mapenzi mema (utukufu) } *2

 1. Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu tunakutukuza
  Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako mkuu
  Ee Bwana Mungu, Mfalme wa Mbinguni
  Mu-ngu Baba, Mungu mwenye enzi,
  Bwana Yesu Kristu, Mwana wa pekee,
  Ee Bwana Mungu, ee Bwana Mungu
 2. Mwanakondoo mwana wake Baba, uondoaye dhambi za dunia
  Utuhurumie utuhurumie, pokea ombi letu ee Baba
  Mwenye kuketi kuume kwa Baba,
  Tuhurumie utuhurumie
  Kwa kuwa kwa kuwa, ndiwe peke yako,
  Mtakatifu mtakatifu
 3. Pekee Bwana mkuu Yesu Kristu, pamoja naye Roho Mtakatifu
  Katika katika utukufu wake, Mu-ngu Baba a-mina.

MTAKATIFU (MISA UPENDO)

 • Mtakatifu mtakatifu Bwana
  Mungu wa majeshi Mungu wa majeshi
  Mbingu na dunia zimejaa, utukufu wako
 • Hosanna (hosanna) hosanna (hosanna)
  Juu mbinguni
 • Mbarikiwa yeye anayekuja kwa jina la Bwana
Misa Upendo
COMPOSERJ. C. Shomaly
CATEGORYMisa (Sung Mass)
SOURCESt. Paul's Students' Choir UoN
 • Comments