Misa Subukia

Misa Subukia
Choir-
CategoryMisa (Sung Mass)

Misa Subukia Lyrics

BWANA BWANA UTUHURUMIE


1. Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie *2

2. Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie *2

3. Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie *2

UTUKUFU JUU KWA MUNGU (SUBUKIA)
{ Utukufu juu kwa Mungu, na amani duniani,
kwao watu wenye mapenzi,
watu wenye mapenzi mema } *21. Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu tunakutukuza
Twakushukuru kwa ajili yako, ya utukufu wako mkuu.

2. Ee Mungu baba ndiwe mfalme,
Mfalme wa Mbinguni baba mwenyezi.
Ee Yesu Kristu mwana wa pekee,
mwanakondoo mwana wa Baba.

3. Uondoaye dhambi za watu tuhurumie tusikilize,
Tuhurumie mwenye rehema maombi yetu uyapokee.

4. Uketiye kuume kwake, Mungu baba tuhurumie.
Kwa kuwa ndiwe pekee yako, Pekee yako Mtakatifu.

5. Pamoja naye roho Mtakatifu, katika utukufu wake
Anayeishi na kutawala, milele yote Amina.

MTAKATIFU (SUBUKIA)


Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako.

Hosanna hosanna hosanna hosanna juu mbinguni

Mbarikiwa anayekuja anayekuja kwa Jina la Bwana

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442