Kila Mwenye Pumzi
| Kila Mwenye Pumzi |
|---|
| Alt Title | Kila Kiumbe Kimsifu |
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 4,476 |
Kila Mwenye Pumzi Lyrics
Kila mwenye pumzi naye, amsifu Mungu
Na kila kiumbe kimwimbie Mungu
{ Kukipambazuka na tucheze wote, kwa furaha
Mchana wa jua na mawio, na tuserebuke } *2
- Siku za kuishi siyo nyingi,
Tusijivunie mali yote ya dunia
- Kwa jina la Baba na Mwana
Na Roho Mtakatifu milele amina
- Twaamini Mungu ni mmoja
Asifiwe siku zote aliyetuumba
- Leo tuko hai tufurahi,
Ya kesho ajua Mungu tumpeni sifa