Nalifurahi Waliponiambia
| Nalifurahi Waliponiambia |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | F. A. Nyundo |
| Views | 9,657 |
Nalifurahi Waliponiambia Lyrics
- Nalifurahi waliponiambia,
Tutaingia nyumbani mwa Bwana
Miguu yetu imesimama,
Ndani ya malango yako, ee Yerusalem
Miguu yetu imesimama,
Ndani ya malango yako, ee Yerusalem
- Amani iwe ndani ya ngome zako,
Na salama ndani ya nyumba yako
- Ushuhuda kwa Waisraeli
Walishukuru jina la Bwana
- Wafanikiwe wote wakupendao
Na ndugu zangu na rafiki zangu
- Niseme sasa amani iwe nanyi
Nyumbani mwenu muwe na baraka