Mashujaa wa Imani
Mashujaa wa Imani | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Watakatifu |
Composer | Yudathadei Chitopela |
Views | 3,183 |
Mashujaa wa Imani Lyrics
Hawa ndio wale ambao walipoishi *2
Kweli walipanda kanisa kwa damu yao *4- Walikunywa kikombe cha Bwana
Wakawa marafiki wa Mungu - Mbingu zahubiri utukufu wako
Anga latangaza kazi za mikono yako - Sauti yao imeenea nchi nzima
Na maneno yao hata miisho ya dunia - Usihofu kukiri imani,
Yake Kristu kwa watu wa mataifa - Tuishike imani ya kweli
Yake Kristu ili tupate uzima