Ukiitwa na Yesu
Ukiitwa na Yesu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 7,945 |
Ukiitwa na Yesu Lyrics
- Ukiitwa na Yesu itika, itika, itika, itika
Sema ndiyo itika, itika, itika, itika
Kama siyo mimi mwenyewe
Kama siyo wewe
Kama siyo sisi Wakristu, nani atangaze injili } *2 - Utapata furaha itika itika . . ..
- Utapata amani . . .. .
- Utapata faraja . . ..
- Utapa Baraka . . .. .
- Utapata upendo
- Utapata neema . . .