Amani ya Mungu Baba

Amani ya Mungu Baba
Alt TitleBaraka za Mungu Baba
Performed by-
CategorySign of Peace/Kutakiana Amani
Views4,158

Amani ya Mungu Baba Lyrics

  1. Amani ya Mungu Baba ni ya, ni ya ajabu *2
    Yaweza - kwenda juu, kwenda chini
    Yaweza - kwenda mbele kwenda nyuma
    Upande upande wa mataifa yote
    upande! upande upande wa mataifa yote
  2. Upendo wa Mungu Baba . . .
  3. Baraka za Mungu Baba . . .
  4. Fadhili za Mungu Baba . . .