Ee Yesu Nakuabudu
Ee Yesu Nakuabudu | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | (traditional) |
Views | 11,962 |
Ee Yesu Nakuabudu Lyrics
- Ee Yesu nakuabudu, uliye hapa kweli
Mungu na binadamu, katika sakramenti,Pokea moyo wangu, unipe moyo wako
Ukae daima kwangu, nikae daima kwako. - Ee Yesu nakuabudu, nakusadiki, ni mwili na damuyo,
Imani inakuona, katika hostia hiyo - Ninakutumainia ee Yesu mfadhili
Na neema yako unipe, nifike uwinguni - Ee Yesu ninakupenda, kuliko nafsi yangu
Nakupenda nana Yesu, ni heri ya Mbinguni