Ee Yesu Nakuabudu

Ee Yesu Nakuabudu
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)
Composer(traditional)

Ee Yesu Nakuabudu Lyrics

 1. Ee Yesu nakuabudu, uliye hapa kweli
  Mungu na binadamu, katika sakramenti,

  Pokea moyo wangu, unipe moyo wako
  Ukae daima kwangu, nikae daima kwako.

 2. Ee Yesu nakuabudu, nakusadiki, ni mwili na damuyo,
  Imani inakuona, katika hostia hiyo
 3. Ninakutumainia ee Yesu mfadhili
  Na neema yako unipe, nifike uwinguni
 4. Ee Yesu ninakupenda, kuliko nafsi yangu
  Nakupenda nana Yesu, ni heri ya Mbinguni