Enyi Wakristu Wapenzi Lyrics

ENYI WAKRISTU WAPENZI

@ J. Urassa

{ Enyi wakristu wapenzi njooni
Bwana anatualika kwenye karamu } *2
Kwanza ndugu tazama meza yake inavyopendeza
Yeye Bwana na wateule wameizunguka meza yake
Haya ndugu simama nawe ushiriki *2

 1. Njoni Bwana atuita meza yake sasa itayari
  Haya simama nenda nawe ushiriki
 2. Kama wewe wastahili fanya hima ukampokee
  Ndicho chakula chenye uzima milele
 3. Yeye anilaye mimi atakuwa na uzima mpya
  Siku ya mwisho mimi nitamfufua
 4. Yeye katuandalia masikini pia matajiri
  Ukarimu gani Bwana Yesu alionao
Enyi Wakristu Wapenzi
COMPOSERJ. Urassa
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
MUSIC KEYC Major
TIME SIGNATURE2
4
NOTES Open PDF
 • Comments