Mimi Ndimi Njia
| Mimi Ndimi Njia | |
|---|---|
| Alt Title | Bwana Akawaambia |
| Performed by | St. Joseph Migori |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Composer | Alfred Ossonga |
| Views | 12,106 |
Mimi Ndimi Njia Lyrics
Bwana akawaambia tena akasema,
Mimi ndimi njia ukweli na uzima *2
Mtu haji kwa Baba yangu, ila kwa njia yangu mimi
Mimi ndimi njia ukweli na uzima- Mtu akinipenda, atalishika neno langu,
Na Baba yangu atampenda - Kaeni ndani yangu nami, nikae ndani yenu
Kwa maana mimi ni mzabibu - Mimi ni njia kweli, mimi ni njia ya uzima
Ajaye kwangu ana uzima