Nimewalisha kwa Unono wa Ngano

Nimewalisha kwa Unono wa Ngano
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerStanslaus Mujwahuki
Views15,098

Nimewalisha kwa Unono wa Ngano Lyrics

  1. Nimewalisha kwa unono wa ngano
    Na kuwashibisha asali (asali)
    Nimewalisha kwa unono wa ngano
    Na kuwashibisha asali itokayo mwambani

  2. Nimewalisha kwa kiini cha ngano
    Na kuwashibisha asali itokayo mwambani
  3. Katika shida waliniita, waliniita
    Katika shida nami nikawaokoa