Nimewalisha kwa Unono wa Ngano

Nimewalisha kwa Unono wa Ngano
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerStanslaus Mujwahuki
Musical Notes
Time Signature2
4
Music KeyD Major
NotesOpen PDF

Nimewalisha kwa Unono wa Ngano Lyrics

Nimewalisha kwa unono wa ngano
Na kuwashibisha asali (asali)
Nimewalisha kwa unono wa ngano
Na kuwashibisha asali itokayo mwambani

  1. Nimewalisha kwa kiini cha ngano
    Na kuwashibisha asali itokayo mwambani
  2. Katika shida waliniita, waliniita
    Katika shida nami nikawaokoa