Nitajongea Mbele ya Meza

Nitajongea Mbele ya Meza
Performed bySt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views4,111

Nitajongea Mbele ya Meza Lyrics

  1. Nitajongea mbele ya meza (yako) nipokee *2
    { Roho yangu Yesu inakutamani
    Ukae ndani yangu ndani yako
    Nipate uzima wa milele } *2

  2. Karibu Yesu wangu, shinda nami daima
    ( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
    Siku zote za maisha yangu
  3. Karibu Yesu wangu, kitulizo cha kiu
    ( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
    Siku zote za maisha yangu
  4. , Karibu Yesu wangu, kitulizo cha njaa
    ( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
    Siku zote za maisha yangu