Nitajongea Meza Yako
Nitajongea Meza Yako | |
---|---|
Performed by | St. Antony of padua Magomeni |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | F. A. Nyundo |
Video | Watch on YouTube |
Views | 12,100 |
Nitajongea Meza Yako Lyrics
- Nitajongea meza yako, ee Bwana
Nitajongea meza yako, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja{ Ninakuja kwako, ee Bwana (kweli)
Nikakupokee, ee Bwana
Kwani wewe ndiwe uzima } *2 - Chakula kina uzima, ee Bwana
Huwashibisha wenye njaa, Bwana nipokee nakuja - Kinywaji kina uzima, ee Bwaba
Huwashibisha wenye kiu, Bwana nipokee nakuja - Ni meza yenye mapendo, ee Bwana
Yenye kuleta amani, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja