Simama Imara Katika Imani

Simama Imara Katika Imani
Performed by-
CategoryFaith
Views20,618

Simama Imara Katika Imani Lyrics

  1. Simama imara katika imani *2
    Usiogope, usiogope, usiogope, tulia katika maombi
    Do not be afraid, do not be afraid, stand strong in faith

  2. [ s ] Watesi wako wanapokuzunguka,
    [ t ] Moyo wako usiwe na hofu
    [ s ] Umtumaini Mwokozi Yesu ewe Mteule
  3. Hata shetani abishe kwako mpenzi . . .
  4. Hata kwenye giza tororo . . .