Yesu Mwema

Yesu Mwema
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)

Yesu Mwema Lyrics

1. Yesu mwema, Yesu mwema, ee Yesu wa Ekaristi
Ee Mungu mtu, twakuabudu, Yesu Yesu mwema

2. Ndiye yangu, furaha kuu, furaha duniani
Utakuwa kati yangu, Yesu Yesu mwema

3. Kila siku, kila saa, katika sakramenti
Mwili wako, ni chakula, Yesu, Yesu mwema

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442