Bwana Ametamalaki

Bwana Ametamalaki
Performed bySt. Cecilia Kijenge
CategoryZaburi
ComposerS. B. Mutta
Views6,064

Bwana Ametamalaki Lyrics

  1. { Bwana ametamalaki nao mataifa watetemeka (naye)
    Ameketi juu ya makerubi, nayo nchi inatikisika } *2

  2. Bwana katika sayuni ni mkuu,
    Naye ametukuka juu ya mataifa yote
  3. Wote walishukuru jina lake kuu
    Kwa maana jina lake Bwana ni la kuogofya
  4. Mtukuzeni Bwana kwani ni mkuu
    Msujuduni mahali penye kiti cha miguu yake
  5. Moto watangulia mbele zake,
    Na kuwateketeza adui zake pande zote