Mungu Mmoja
| Mungu Mmoja | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Utatu Mtakatifu (Holy Trinity) |
| Composer | Martin M. Munywoki |
| Views | 7,335 |
Mungu Mmoja Lyrics
Mungu mmoja katika nafsi tatu mamoja, ni fumbo kubwa *2
{ (Kuwa Mungu) Mungu Baba (Mungu) Mungu mwana
(Mungu) Roho Mtakatifu, Mungu mmoja } *2- Usifiwe Utatu Mtakatifu, Mungu Baba Mungu Mwana
Na Roho Mtakatifu, milele na milele - Usifiwe Mungu Baba yetu, Mungu Muumba mpaji
Umeziumba mbingu, nchi na vitu vyote - Usifiwe Mungu Mwana Mwokozi, Mungu kweli mtu kweli
Uliyetukomboa, kutoka utumwani - Usifiwe Roho Mtakatifu, mwalimu kiongozi
Mgavi wa vipaji, pia mfariji wetu