Nafsi Yangu
| Nafsi Yangu | |
|---|---|
| Alt Title | KIla Wakati |
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Ushuhuda Tosha |
| Category | Zaburi |
| Composer | A. Kenani |
| Views | 5,957 |
Nafsi Yangu Lyrics
Kila wakati nitamhimidi Bwana
Sifa zake zi kinywani mwangu daima
Nafsi yangu itajisifu, wanyenyekevu wasikie wafurahi *2- Nalimtafuta Bwana akanijibu
Akaniponya na hofu zangu zote - Wakamwelekea wakatiwa nuru
Wala nyuso zao hazitaona haya - Maskini aliita Bwana akasikia
Akamuokoa na taabu zake zote