Ni Neno Jema
Ni Neno Jema | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Nikiziangalia Mbingu (vol 18) |
Category | Zaburi |
Composer | John Mgandu |
Views | 7,680 |
Ni Neno Jema Lyrics
{Ni neno jema kumshukuru Bwana
Ni neno jema kumshukuru Bwana } *2- Ni neno jema kumshukuru Bwana wangu
Na kuliimbia jina la aliye juu
Na kuzitangaza rehema zake zote
Na uaminifu wake wakati wa usiku - Waliopandwa katika nyumba ya Bwana
Watastawi katika nyua za Bwana
Watazaa matunda hadi uzeeni
Watajaa utamu hawatakuwa na ubichi