Tazama Jinsi Ilivyo Vyema
| Tazama Jinsi Ilivyo Vyema | |
|---|---|
| Performed by | Moyo Mtakatifu wa Yesu Singida |
| Album | Utukufu wa Bwana |
| Category | Zaburi |
| Composer | E. F. Kidaluso |
| Views | 7,677 |
Tazama Jinsi Ilivyo Vyema Lyrics
{ Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza
Ndugu wakae pamoja, pamoja kwa umoja
Ndugu wakae pamoja kwa umoja } *2- Ni kama mafuta mazuri mazuri kichwani
Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni
Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake - Kama umande wa Hermoni, ushukao milimani pa Sayuni
Maana ndiko Bwana alipoamuru baraka naam uzima hata milele