Ufurahi Moyo Wao
Ufurahi Moyo Wao | |
---|---|
Performed by | Maria Mt Mama wa Mungu Musoma |
Album | Matumaini ya Safari |
Category | Zaburi |
Composer | J. Kigaza |
Views | 4,135 |
Ufurahi Moyo Wao Lyrics
{ Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana
Mtakeni Bwana nguvu zake
Utafuteni uso wake siku zote siku zote } *2- Mshukuruni Bwana liitieni jina lina lake
Wajulisheni watu matendo matendo yake - Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya
Miujiza yake na hukumu ya kinywa chake - Yeye Bwana ndiye Mungu wetu ndiye Mungu wetu
Dunia yote imejaa hukumu zake