Ufurahi Moyo Wao

Ufurahi Moyo Wao
ChoirMaria Mt Mama wa Mungu Musoma
AlbumMatumaini ya Safari
CategoryZaburi
ComposerJ. Kigaza

Ufurahi Moyo Wao Lyrics

{ Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana
Mtakeni Bwana nguvu zake
Utafuteni uso wake siku zote siku zote } *21. Mshukuruni Bwana liitieni jina lina lake
Wajulisheni watu matendo matendo yake

2. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya
Miujiza yake na hukumu ya kinywa chake

3. Yeye Bwana ndiye Mungu wetu ndiye Mungu wetu
Dunia yote imejaa hukumu zake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442